traffic lights

  1. BIGURUBE

    KERO Traffic Lights za Kilwa road ni kero

    Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie...
  2. Selemani Sele

    Leo ni siku ya traffic light duniani

    Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu zianzishwe. Traffic lights za kwanza zilikuwa na rangi mbili tu mpaka mwaka 1923 ilipoongezwa rangi...
  3. adakiss23

    Traffic Lights za Kimara Bucha hazifanyi kazi kwa muda sasa. Wahusika kulikoni?

    Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari...
  4. GedsellianTz

    Traffic lights zilizopo Nyegezi kona ni kero kwa wanainchi

    Wanajamvi salama... Tatizo la traffic 🚦 lights zilizowekwa barabarani pale NYEGEZI Kona ni KERO sana na ipo siku kutatokea ajali kubwa sana maeneo Yale. Sijajua evaluation na vigezo walivyotumia wanaojiita wataalamu kuweka mataa eneo lile kwani ndio kumekua na msongamano mkubwa wa magari, kila...
  5. Nyani Ngabu

    Taa za kuongozea magari Tanzania [Traffic lights]

    Naomba hapa nizungumze kiujumla jumla. Hizi taa za kuongozea magari Tanzania, hususan Dar es Salaam, ni za kazi gani hasa? Kuna mambo nadhani huwa tunayalazimisha ambayo kiuhalisia hayapo kwenye DNA yetu. Machache kati ya hayo ni ustaarabu na ufuataji wa sheria tunazojiwekea sisi wenyewe...
  6. maroon7

    Traffic Lights Bagamoyo Road nyingi sana mpaka kero

    Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
  7. Bamileck

    Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  8. FRANCIS DA DON

    Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana. Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
Back
Top Bottom