Habari zenu wana JF
Niliwahi kuandika juu ya suala ya usafirishaji kwenye majiji yetu yote. Nilikwenda mbali zaidi kwamba inafika wakati sio bisahara tena bali ni huduma.
Serikali yetu inazorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla kwa kung'ang'ania hizi daladala...
Kamanda Jumanne Muliro, tuache unafiki, tuache kuoneana. Unatutangazia kuwasimamisha hawa Polisi wawili walioonekana wakichukua fedha kwa makondakta wa dadadala kwa sababu wamefanya kosa au kwa sababu wameanikwa mitandaoni?
Ina maana hujui kwamba kila siku traffic wanaokuwa barabarani wanafanya...
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine.
Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea.
Updates: Polisi yachukua hatua, yalaani vikali kitendo hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.