Kila nikimsikiliza na kumtazama Spokesperson wa Chama cha Mapinduzi Mr Pole pole, ninaona kama vile anasubiria Jambo kubwa limtokee, anaongea Kwa Authority na bashasha kubwa mno, ni kama vile anajua Kesho yake ni njema Sana. Inawezekana mawazo na mtizamo wangu sio Sahihi lakini Kwa mwenendo wa...