Wakuu,
Wakati tunaenda kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine ni vizuri tukaangalia nyuma na kujifunza kwa waliyopita. Moja ya kitu nilichoona hiki, watu wengi tumebeba trauma za utotoni na kufanya haya ndio yawe maisha wetu. Mtoto anajifunza kwa kuiga kutoka kwa waliomlea na wanaomzuka...