Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...