trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  2. Treni ya Abiria ya TRC yaanguka Kigoma, Watu kadhaa wajeruhiwa

    Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki imepata ajali kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza mkoani Kigoma majira ya Saa 7.30 usiku...
  3. TRC boresheni haya, nimepanda treni yenu ni nzuri ila tunahitaji maboresho zaidi

    Salaam wanabodi, Awali nipongeze walipa kodi na waasisi wa wazo la ujenzi wa Sgr nchini. Japo ni mwanzo ila tuseme ukweli ili maboresho yafanyike. Natoa experience kwa reference ya kituo cha Dodoma nilipowahi kusafiri kuelekea Jijini Dsm. Punguzeni matangazo ya kusifia Rais na Serikali kwa...
  4. Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

    Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni...
  5. Ushauri: Shirika la reli (TRC) uzeni vyuma na mitambo chakavu kwa viwanda vya vyuma vya ndani maana hamna matumizi navyo

    Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma. Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika yaliyofanikisha pakubwa kuzuia wizi na upotevu wa vifaa, mitambo na vipuli basi ni Shirika la reli. Pia...
  6. R

    SGR/TRC management mnatengeneza mianya ya Kuiba ninyi wenyewe makusudi. Kwa vipi? Nitaeleza

    Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North America. You do not have to invent the wheel, it is a matter of copy and paste kutoka nchi hizo mifumo...
  7. DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  8. Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

    Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo wafanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika...
  9. N

    TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu

    Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo Shirika la Reli (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme...
  10. Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  11. Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  12. TRC yako wapi mabehewa 24 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na Lückemeier Transport & Logistik

    ikumbukwe tarehe 9/6/0223 trc ilipokea mabehewa 6 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na kamouni ya Lückemeier Transport & Logistik ya Ujerumani na wakati wa mapokezi msemaji wa seriakli wa kipindi ndugu msigwa alituhaidi kufikia july ya mwaka huo tungeweza pokea maabehewa manegine kati ya 24 yaliyokuwa...
  13. TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  14. Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  15. P

    Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

    Wakuu, nasikia tren ya SGR Dar-Dodoma imezima katika kituo cha kidete. Pia soma: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme Milango imefunguliwa ili wapate hewa wakisubiri...
  16. Hivi TRC Treni za Vichwa mchongoko zitaanza kutumika lini?

    Hongera kwa kuanza safari za treni ila mpaka sasa naona vichwa vya makwomwe. Cha mchongoko kipo wapi japo Mbarawa alituambia ndio walivyo nunua.
  17. B

    TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  18. Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

    Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja. Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu...
  19. Tanzania Railway Cooperation (TRC) wanahitaji Electrical Tech II na Mechanical Tech II.

    Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
  20. CCM, TRC na serikali wanahujumu reli ya SGR.

    Jana Alahamisi jioni luninga ya Chaneli Ten ilionesha kikundi cha UVCCM wakiwa stesheni ya SGR ya Dar as Salaam tayari kwa kupanda treni kwenda Morogoro na kurudi, kikundi hicho kilipokelewa na meneja mkuu Kadogosa ambaye alionekana akitia maelezo kuhusu reli na treni hiyo. Hivi vikundi vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…