Habari wana jamvi wa jf,
Jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office lakini nilijibiwa makuzi tuu yaani hiyo ifike million 1.3 na 1.4 wakati iyo ni kwa level ya diploma...