treni mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    SGR boresheni mfumo wenu wa ticket uwe Partial Seat Booking ili kuepuka abiria wanaozidisha safari

    Partial booking ipo hivi: Mfano tuchukulie vituo vichache (vinne) vya treni Dar, Pugu, Moro, Dom. Abiria akikata tiketi ya Dar-Pugu, seat husika baada ya kuchaguliwa na abiria wa Dar-Pugu haitakiwi kuwa faint (innactive/unavailable), bali inatakiwa iendelee kuwa active kwa machaguo ya...
  2. Cute Wife

    Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

    Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja anakuwa halipi nauli? Yeye siyo mlipa kodi ambaye pesa yake imechangia kwenye kukamilisha ujenzi wa...
Back
Top Bottom