Partial booking ipo hivi: Mfano tuchukulie vituo vichache (vinne) vya treni Dar, Pugu, Moro, Dom.
Abiria akikata tiketi ya Dar-Pugu, seat husika baada ya kuchaguliwa na abiria wa Dar-Pugu haitakiwi kuwa faint (innactive/unavailable), bali inatakiwa iendelee kuwa active kwa machaguo ya...
Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja anakuwa halipi nauli? Yeye siyo mlipa kodi ambaye pesa yake imechangia kwenye kukamilisha ujenzi wa...