Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya kuingilia wala kutokea serikali ifike haraka kutatua changamoto hio kwa wakazi wa Makulu Dodoma mjini.
Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
Kigwangala aandika haya katika ukurasa wake wa X;
Hii ni aina ya mambo ambayo hatuwezi kunyamaza. Ni aina ya mambo yenye viashiria vya ‘ubaguzi’ wa wazi.
State crafting inataka kulinda tunu zilizoasisi Taifa. Mojawapo muhimu na kubwa ni usawa, na inclusion. Hata siku moja tusithubutu kuruhusu...
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?
=====
Kufahamu zaidi nauli za maeneo mengine soma:
Thread 'Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.