Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha.
Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu na kituo cha reli cha Sahara huko Nawabshah, takriban kilomita 275 (maili 171) kutoka mji mkubwa...