treni ya mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Je TRC/SGR inahujumiwa ama inajihujumu!

    Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika. Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza...
  2. The Sheriff

    Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

    Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya: Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Bei za nauli za treni za kwenda Morogoro na Dodoma zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kuweka uwiano wa biashara kati ya mabasi na treni

    Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma. Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea...
  4. The Watchman

    SI KWELI John Mnyika na John Mrema wamepongeza huduma zitolewazo kwenye usafiri wa treni ya Mwendokasi na filamu ya Royal Tour

    Wakuu nimekutana na video inayosambaa kwa kasi sana mtandaoni ambapo wanaonekana John Mrema na John Mnyika, na Mrema akisikika kuwa atatoa maoni juu ya usafiri huo mara baada ya safari kukamilika lakini kinachonipa utata ni sauti inayosikika katika video hiyo baada ya Mrema ikisema viongozi hao...
  5. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  6. K

    Stesheni za SGR ambazo zimepewa majina ya viongozi ziwe pia ni sehemu ya kujifunza na kufahamu historia za viongozi hao

    Kwako Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ninakusalimu kwa jina la JMT, Kufuatia uzinduzi rasmi wa safari za SGR, Dsm- Dom uliofanya siku ya 01/08/2024 na Taifa kuandika historia ya kipekee katika ukamilikaji wa mradi huo mkubwa ambapo sambamba na uzinduzi wa safari hiyo pia tukio hilo...
  7. Kifurukutu

    Huenda Rais Samia anahujumiwa kwenye treni ya mwendokasi, hatua zichukuliwe mapema

    Kwa yanayoendelea kuhusu mradi wa SGR kuanza kwa kusuasua hatua za awali kabisa hii ni hujuma kwa Rais kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Figisu zimeanza mapema mno na hii yote ni kutaka ionekane mama amefail, kitu ambacho kinawaumiza watanzania wengi Rais chukua hatua mapema, bado...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
  9. Komeo Lachuma

    Hii ni hujuma na hawa ni wahujumu uchumi kabisa. Serikali ifumbue macho hatujui baada ya hapa watafanya nini

    Nawachukia sana wapinzani. Wapinzani wamekuwa watu wa hovyo sana nchini. Hawana jambo zuri hata siku moja kama ambavyo serikali yetu haina jambo baya hata siku moja. Ila naona awamu hii wamefika mbali sana. Wameanza kuhujumu Train yetu nzuri ya kizazaa ya SGR. NDIYO WAMEANZA UHUJUMU WA MIUNDO...
  10. S

    SGR Tanzania si ya kwanza duniani kukumbwa na hitilafu ya umeme

    Kama ilvyoripotiwa na TRC kwamba hitilafu ya umeme iliyotokea tarehe 30/07/2024 majira ya saa 4:20 usiku kwenye kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Ni...
  11. Kijakazi

    Hivi Watanzania huwahi kwenda wapi na kwanini?

    Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda? Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express...
  12. Lord denning

    Tungekuwa na Baraza la Mawaziri sharp na smart tungekuwa tunaipeleka SGR Uganda kwa focus ya kuifikisha Sudan Kusini na Afrika ya Kati

    Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi. Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor) Wiki hii...
  13. S

    TRC sikilizeni ushauri wa huyu Mkenya Ken Macharia kuhusu ucheleweshaji kukata tiketi na ukaguzi

    Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja. Pili...
  14. Morning_star

    Video: Huyu chawa wa Rais Samia yuko katika viwango vya SGR! Duh! Si kwa uchawa huu bali ni jinai

    Ebu msikilize!
  15. J

    Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

    Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi...
Back
Top Bottom