treni ya umeme

The Dar es Salaam commuter rail, informally known as Treni ya Mwakyembe ("Train of Mwakyembe"), is an urban and suburban commuter rail network serving the Tanzanian commercial city of Dar es Salaam. It is one of the two initiatives taken by the government to ease travel within the congested city; the other being the Dar es Salaam bus rapid transit system. Services are provided by the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) and Tanzania Railways Limited (TRL).

View More On Wikipedia.org
  1. musicarlito

    Wenzetu(China) wanafanyia majaribio treni ya umeme yenye mwendo wa Km 450/saa...Vipi sisi na nyungo na fisi zetu?

    Nimeikuta habari hii mtandaoni Kwenye Facebook Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi? Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
  2. X

    China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

    Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29 Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing Litakuwa na safari kati ya Beijing...
  3. K

    Ratiba za SGR sio rafiki

    Kutoka Dom treni ya kwanza saa 11:15 alfajiri halafu baada ya hapo kuna moja ya kitajiri saa 2 asubuhi ambayo haiendani na uwezo wa wateja, mara nyingi haijai except peak demand. Utasubiri mpaka saa nane ndio upate ordinary train. Swali langu ni kwa nini kusiwe na ordinary train kwenye saa 1...
  4. little master

    Nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni Chuo cha Reli (TIRTEC)

    Tangazo la nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni chuo cha reli (TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY -TIRTEC). Nimeambatanisha tangazo husika.
  5. S

    Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

    Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?. ushauri kama abiria ni wachache mabehewa yapunguzwe ili kubana matumizi. Bora mabehewa yawe mawili au matatu yajae...
  6. The Sheriff

    Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

    Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya: Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka...
  7. Mtoa Taarifa

    Waziri Mbarawa: Treni ya SGR imeingiza mapato ya takriban Tsh. Bilioni 16 ndani ya miezi minne

    Serikali imetangaza kuwa uwekezaji katika Reli ya Standard Gauge (SGR) umeanza kulioa, huku takriban Sh15.7 bilioni zikizalishwa katika kipindi cha miezi minne tangu kuanzishwa kwa reli hiyo ya huduma za treni ya umeme. Akizungumza wakati wa mkutano wa 17 wa mwaka wa mapitio ya pamoja ya sekta...
  8. Nkamu

    TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  9. buswagg

    Ushauri wangu kwa Rais Samia kuhusu treni ya umeme (SGR)

    In short wananchi tunafahamu weakness walonayo viongozi wengi serikalini , Sio waoga kuiba by any means, yani upenyo mdogo tu wanaharibu kila kitu, pia ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unaamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna...
  10. Cute Wife

    Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!

    Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
  12. Komeo Lachuma

    Hii ni hujuma na hawa ni wahujumu uchumi kabisa. Serikali ifumbue macho hatujui baada ya hapa watafanya nini

    Nawachukia sana wapinzani. Wapinzani wamekuwa watu wa hovyo sana nchini. Hawana jambo zuri hata siku moja kama ambavyo serikali yetu haina jambo baya hata siku moja. Ila naona awamu hii wamefika mbali sana. Wameanza kuhujumu Train yetu nzuri ya kizazaa ya SGR. NDIYO WAMEANZA UHUJUMU WA MIUNDO...
  13. CM 1774858

    Kafulila: Milango iko wazi kwa mtu au kikundi kununua vichwa na mabehewa ya SGR kisha kuyaendesha kwa miundombinu ya serikali kwa sharti la ubia

    Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  14. S

    SGR Tanzania si ya kwanza duniani kukumbwa na hitilafu ya umeme

    Kama ilvyoripotiwa na TRC kwamba hitilafu ya umeme iliyotokea tarehe 30/07/2024 majira ya saa 4:20 usiku kwenye kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Ni...
  15. Roving Journalist

    Seti Mbili za Treni ya Umeme na vichwa 8 vya Umeme "Samia Express" vyawasili Nchini

    SETI MBILI ZA TRENI ZA EMU (ELECTRIC MULTIPLE UNIT) ZAWASILI Dar es Salaam, Tarehe 02 Julai, 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa Seti mbili (2) za treni ya kisasa inayotumia nishati ya umeme EMU (Electric Multiple Unit) na vichwa nane (8) vya treni vya umeme vimewasili...
  16. Lord denning

    Tungekuwa na Baraza la Mawaziri sharp na smart tungekuwa tunaipeleka SGR Uganda kwa focus ya kuifikisha Sudan Kusini na Afrika ya Kati

    Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi. Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor) Wiki hii...
  17. S

    TRC sikilizeni ushauri wa huyu Mkenya Ken Macharia kuhusu ucheleweshaji kukata tiketi na ukaguzi

    Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja. Pili...
  18. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  19. K

    Watanzania wenzangu, chonde chonde tutunze treni ya umeme ili idumu

    Treni ya umeme imeanza safari yake ya kwanza kwenda Morogoro ikitokea Dar. Hili ni jambo la kushukuru na kuipongeza sana Serikali. Tumeona mara nyingi kitu kipya kikianza kwa mbwembwe na kwa huduma nzuri lakini baadaye huduma yake ikidorora kwa kasi kubwa. Treni ya umeme isifikie huko. Mifano...
  20. J

    Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

    Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55 Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli ======== Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa kwenye mabehewa 14 ya treni ya umeme iliyoanza safari ya kwanza leo Juni 14, 2024 ikiongozwa na...
Back
Top Bottom