treni za sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    TRC Kununua Bichwa vya Treni vya Diesel ni kwamba Umeme Hauna Uhakika au?

    Aisee hii inanikimbusha wakati wa majadiliano ya wakandarasi wanajenga EACOP walisema watajenga vituo vya umeme wa Jua Ili kusukuma Mafuta Kwa upande wa Tanzania Kwa sababu hatuna umeme wa uhakika kulinganisha na Uganda hivyo Nchi imekosa hela za Mauzo ya umeme Kwa wamiliki wa Bomba. Nilidhani...
  2. Roving Journalist

    TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa

    Majira ya Asubuhi ya leo Desemba 4, 2024, iliripotiwa kuwa Treni ya Abiria ya Kisasa (SGR) iliyokuwa ikitokea Dar kuelekea Dodoma imekwama katika Stesheni ya Kilosa Mkoani Morogoro kwa kilichoelezwa kuwa ni hitilafu ya Umeme na hivyo kusababisha safari hiyo kushindwa kuendelea. JamiiForums...
  3. M

    Ticket SGR mfumo unafunguliwa muda gani?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu, Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri. Kuna njia mbadala wakupata ticket haraka ya Al fajiri?
  4. Dr. Zaganza

    SGR Itaboresha Vipaji Hivi

    1.Wafanyabiashara wa mabasi Mfano ndugu Ahmed Shabiby aliwahi nukuliwa kwenye mahojiano kwamba basi lake la kwanza alimiliki akiwa na miaka 19. Bila shaka mpaka sasa ana uzoefu mkubwa mno, na ni muda wa kutumia ujuzi huo ku-diversify (kutoweka mayai kapu moja) kumbuka walomtangulia kama Sumry...
  5. F

    Sekta binafsi ipewe nafasi kwenye uendeshaji na uwekezaji katika miundombinu treni, ndege na mabasi ya mwendokasi

    Mheshimiwa rais, Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT. Lakini bado huduma katika maeneo yote hayo sio nzuri. SGR tumeanza jana tu lakini dadili sio nzuri,. Sustainability. Hakuna...
  6. Determinantor

    Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

    Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR. NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR. Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
  7. Roving Journalist

    Waziri Mbarawa: Treni za SGR zitakuwa na uwezo wa kubeba mzigo wa Tani 10,000 kwa mkupuo sawa na Malori 500

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Treini za kisasa zitakuwa na uwezo wa kubeba tani 10,000 kwa mkupuo jambo amesema kuwa ni sawa na mzigo ambao unabebwa na malori 500. "Treni za kisasa zenye kutumia nishati ya umeme, zitakuwa na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa hadi tani 10,000 kwa...
  8. Roving Journalist

    Seti Mbili za Treni ya Umeme na vichwa 8 vya Umeme "Samia Express" vyawasili Nchini

    SETI MBILI ZA TRENI ZA EMU (ELECTRIC MULTIPLE UNIT) ZAWASILI Dar es Salaam, Tarehe 02 Julai, 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa Seti mbili (2) za treni ya kisasa inayotumia nishati ya umeme EMU (Electric Multiple Unit) na vichwa nane (8) vya treni vya umeme vimewasili...
Back
Top Bottom