Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...