Rais wa Marekani Donald Trump ameishutumu Iran kwa kutumia teknolojia ya akili Unde (AI) kama “silaha ya upotoshaji wa taarifa” ili kupotosha mafanikio yake vitani na kupata uungwaji mkono wa umma.
“AI inaweza kuwa hatari sana, hivyo tunapaswa kuwa waangalifu nayo,” Trump aliwaambia waandishi...