Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, afisa wa Ikulu ameiambia CNN Jumatatu.
Hatua hii, iliyokuja baada ya Trump...
Wakuu,
Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa siku 90 kupitia shirika lake la USAID.
Pia soma...
Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
Reports have repeatedly surfaced of Hamas weapons caches being discovered in UNRWA schools and facilities, as well as tunnels dug beneath its buildings.
By Jewish Breaking News
President Donald Trump has officially signed an executive order withdrawing the United States from the UN Human...
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha.
Akiwa nchini Marekani kikazi, Shigongo amesema misaada ya Marekani kwa nchi za Kiafrika, inasaidia kwa kiasi kikubwa...
Wakuu,
Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana.
Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka jimbo la Maryland aliongozana na wabunge wengine wakitaka shirika hilo LIRUDISHWE na Elon Musk...
CHADEMA imetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani,Donald Trump kusitisha misaada kwa sekta ya afya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Maendeleo ya Jamii ya Bunge la Wananchi CHADEMA, Ashura Masoud, lazima hatua zifuatazo zichukuliwe kukabili mabadiliko hayo.
1...
Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi?
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii kila kukicha, lakini HUSIKII serikali ikichukua hatua kuongea na vyombo...
Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.