trump kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ESCORT 1

    Rais Museveni akemea kitendo cha Trump kushambuliwa kwa risasi, ampa pole

    Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni. Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole. Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣 Yapi maoni yako...
  2. W

    Trump kukoswa na Risasi ilikuwa ni bahati ama mkono wa Mungu?

    Sekunde kabla risasi haijafyatuliwa Trump aligeuza kichwa kuangalia kulia, Risasi iliyolengwa kupenya ndani ya kichwa chake ikamkwaruza sikio, Chupu chupu. PIA SOMA - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
  3. Blood of Jesus

    "Secret Service" ni watu gani na majukumu yao ni yapi?

    Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
Back
Top Bottom