Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi...
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump ( Executive Orders) kuzuia fedha zote za misaada zilizokuwa zinatolewa na serikali ya Marekani kupitia baadhi ya taasisi zake ikiwemo taasisi ya misaada ya Marekani ( United States Agency for Development – US-AID), Mtandao wa Watetezi wa Haki za...
Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na wanajeshi veterans.
Inasemwa amri ya Trump kuzuia misaada imeleta mkanganyiko ndani ya Marekani kwa...
Baada ya Trump kusitisha misaada yote ya Marekani kwa kila kitu na kote duniani bila shaka kundi mojawapo la watu ambao watakuwa wamefurahia ni wale wajinga ambao hupinga matumizi ya chanjo(anti-vaxxers), ARVs na Condom.
Hata hivyo ni vyema watu hao wasifurahi sana hadi kupitiliza kwa sababu...
Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.