trump mateka waachiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PureView zeiss

    Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

    Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa. Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari. Trump...
Back
Top Bottom