Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake.
Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu. Amewaomba wanachama wa Simba kuwa wamoja na kuondoa migogoro.
Aidha, amesema baada ya mashauriano...