tshisekedi

Tshisekedi is a surname. Notable people with the surname include:

Denise Nyakéru Tshisekedi (born 1970), wife of Felix
Etienne Tshisekedi (1932–2017), Congolese politician and party leader
Félix Tshisekedi (born 1963), Congolese politician and president of the Democratic Republic of the Congo

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Tshisekedi atakimbia nchi

    Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
  2. B

    Gen Makenga ajitokeza nje, atembelea askari wa fardc walioteka vitani- tunaenda kumfukuza Tshisekedi

    15 February 2025 Kivu DR Congo JENERALI SULTANI MAKENGA AJITOKEZA HADHARANI, NA KUSISITIZA NIDHAMU Jenerali Sultani Emmanuel Makenga ajitokeza na kutembelea askari waliotekwa wa jeshi la serikali la FARDC ambao, sasa wanapewa mafunzo ya kuondoa nidhamu mbaya waliyokuzwa nayo wakitumikia jeshi...
  3. Huihui2

    Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

    Fungua hii hapa: https://youtu.be/lElMstEAAww?si=0nAu1Paai2oo95i8
  4. 6 Pack

    Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  5. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  6. B

    Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  7. Yoda

    Ilikuwa kosa kubwa sana Joseph Kabila kumuibia Tshisekedi ushindi wa urais Congo dhidi ya mshindi halali, Fayulu

    Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo. Katika...
  8. 6 Pack

    Ushauri: President Tshisekedi kuya Tanzania tuyajenge.

    Mr presidaa bounjour, Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa. Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi...
  9. Waufukweni

    Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  10. Mende mdudu

    Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  11. Gemini AI

    Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  12. TODAYS

    Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

    “We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….." Anaendelea kusema " Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
  13. B

    Paul Kagame: Felix Tshisekedi ni mgombanishi nambari moja eneo hili la Afrika

    Felix Tshisekedi mgombanishi anataka kuzigonganisha jumuiya ya SADC dhidi ya EAC asema rais Paul Kagame ktk mahojiano exclusive. M23 ni wa Congole wanapigana huko DR Congo Mashariki kutokana na matatizo ya kina Felix Tshisekedi kiasi kwamba tayari tuna wakimbizi zaidi ya 100,000 waliokimbilia...
  14. Poppy Hatonn

    Tshisekedi hakushinda kura. Alipewa urais na Joseph Kabila

    Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka mitano iliyopita Tshisekedi hakushinda. Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila. Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu hilo tangazo halikufanyika kwa sababu Papa Francis alitoa maagizo Kanisa lisiingilie mambo ya siasa...
  15. JanguKamaJangu

    Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

    Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani. Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
  16. GENTAMYCINE

    Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

    Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
  17. BARD AI

    Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  18. JanguKamaJangu

    Rais wa DR Congo, Tshisekedi amlinganisha Rais Paul Kagame na Hitler

    Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler. Félix Tshisekedi alisema Paul Kagame alikuwa na tabia kama Hitler, na akaongeza: "Naahidi ataishia kama Hitler". Bw Tshisekedi...
  19. B

    Moto Kampeni Uchaguzi Mkuu wa DR CONGO 2023, Farasi wawili Moïse Katumbi vs Felix Tshisekedi

    19 November 2023 Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi https://m.youtube.com/watch?v=XzU9u6Y4bzg Moïse Katumbi amewasiki Maniema na kupokelewa na umati mkubwa wa...
  20. GENTAMYCINE

    Kwa Kitendo cha EAC Kumgeuka na Kumchoka Tshisekedi na Congo DR yake Mliomlaumu Kagame na Rwanda yake muombeni Radhi upesi

    Ukiona Mtu yoyote anapendwa au anakubalika na GENTAMYCINE jua huyo Mtu ana Akili Kubwa halafu Kabarikiwa na Mwenyezi Mungu na ukiona namchukia Mtu jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu mno. Mapema mwishoni mwa mwaka 2022 na mwanzoni mwa mwaka 2023 Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Rwanda yake...
Back
Top Bottom