ttcl fiber

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Progress ya application ya leseni ya Starlink

    Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania? Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa sababu random yan. Starlink ije, washtuke kidogo, sio fair inakuwa kama vile hatuwalipi Wanakera
  2. A

    Mrejesho: Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6) Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo...
  3. A

    Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
  4. TTCL Fiber ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako moja kwa moja anakuwa na access ya router yako

    TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa. Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…