Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi kukutokea ulimjibu nini??
Mimi jibu nitakalompa/nililowahi kujibu nikiliweka hapa Mods lazima wanipige Ban...
Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama.
Tundu Lissu atakijenga Chama chenye weledi pasipokuwa na harufu ya Rushwa. Kama mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ametajwa hadharani...
Wakuu.
Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu
Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi .
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
Habari Wanajukwaa wote!
Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa.
Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.
Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.
Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane...
Habari wajameni,
Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.
Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana.
Tatizo lake limetokea hivi...
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.
Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.
Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI
"Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni inatokana na Sekta ya Maliasili na Utalii, pia asilimia 17 ya pato la Taifa...
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona
Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.
Ndugu Watanzania tuwakatae...
Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili.
Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.
Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.
Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali.
Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND
Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND.
SABABU ZANGU
1: Mama ni...
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa.
Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia katika shule hizi za mikoa za michezo. Hapo wawekewe facilities zote, na walimu.
Kila mwaka shule...
Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii.
Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.