tube

  1. Orketeemi

    Naomba app hii MiniTube

    Wadau, naomba msaada wa APK ya MiniTube. Ikiwa kuna yeyote anayeweza kunisaidia kwa njia ya kupakua au kutumia programu hii, nitashukuru sana.
  2. A GIRL OF THE GIRLS

    SoC04 Tanzania bila ulemavu wa neli ya mgongo (neuro tube defects) kwa watoto wanaozaliwa inawezekanika

    Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya Ifakara, Ilionesha kuwa Watoto wanaozaliwa na kasoro ni 5.6 % kubwa kuliko wastani wa Dunia nzima ambao...
  3. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  4. shanature

    Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

    habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja. Ila wasiwasi...
  5. T

    You Tube kuniletea suggestions za nyimbo za dini ina maana gani?

    Mimi sio mtu wa dini, nimeshangaa leo na renew you tube premium membership yangu naletewa suggestions za nyimbo za dini wakati sijawahi kuzitafta kwenye huo mtandao hata siku moja. Mbaya zaidi you tube wameniletea ngoma za zamani za kina malebo, kina kijitonyama choir nk za enzi zile naelekea...
  6. JanguKamaJangu

    Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  7. C

    Terrence creative ananimalizia bando you tube, hatari sana

    Tangu nikiwa mdogo napenda sana comedy za Kenya nakumbuka nilikuwa naenda library huko Arusha kukodisha tape za Vitimbi kina masakuu wali zo dub KBC Hapa katikati nikawa mshabiki mkubwa wa churchil show na Eric Omondi ila last week nimekuja kumjua jamaa anaitwa Terrence creative aisee hands up...
  8. F

    Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  9. E

    Natafuta tairi ya baiskeli na tube zake, liwe na inchi 28

    Natafuta tairi inchi 28 na tube zake nipo Morogoro kama unashughulika nazo comments tumfanye biashara.
Back
Top Bottom