Kimsingi naona mwaka huu wafanyakazi utumishi wa umma wanaotarajia kusheherekea siku yao maalum wamepigwa na kitu kizito kichwani maana hizo t-shirts hazina mvuto wowote na zimekuwa zikijirudia mwaka kwa mwaka na huenda ni matoleo ya miaka iliyopita yakabaki ndio wanarudishiwa licha ya michango...