tuheshimu ikulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

    Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…