Kwa hali inayoendelea hivi sasa nchini, Kwa tuhuma za matukio kadhaa ya uvunjifu wa sheria, madai ya kupotezwa Kwa watu kadhaa, na kudaiwa kuuawa Kwa raia wasio na hatia.
Matukio yote haya, yanadaiwa kuhusishwa na Jeshi letu la Polisi, kuwa ndiyo watekelazaji wakubwa, Kwa hiyo inalazimu hivi...