Naandika nikiwa na mshangao mkubwa.
Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni wateule wake yeye mwenyewe wakiwemo mawaziri wake.
Kitendo hicho peke yake kikamdhalilisha sana rais...