Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea Tulimsingizia Magufuli kamteka eti kwa madai msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli, Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio...