tuhuma za rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 TAKUKURU Temeke yamkamata Habibu Mchange ambae ni mtia nia Ubunge jimbo la Kigamboni kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo wameeleza ni miongoni mwa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni. Kupata matukio na...
  2. Raphael Alloyce

    TAKUKURU chukueni hatua tuhuma za rushwa CHADEMA

    Habari ya wakati huu wadau, Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kusafisha taswira...
  3. Papaa Mobimba

    Wakili Jebra Kambole: CHADEMA inachafuka kwa tuhuma za rushwa

    "Rushwa ukiitazama katika mfumo wa kijinai tunasema unapaswa uthibitishe pasipo na shaka lakini mkija kwenye upande wa chama kama CHADEMA, kwanza tunapaswa kujuwa kuwa CHADEMA ni tumaini la Watanzania kwa hiyo wanapaswa kujuwa kuwa hawapaswi kutiliwa shaka hata kidogo, ni kama tunavyosema mke wa...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake

    Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa. Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu. Pia soma: Pre...
  5. Roving Journalist

    Madai ya Lissu kutoa tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA, Mnyika asema “Yeyote mwenye tuhuma aziwasilishe zishughulikiwe”

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024. Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za uwepo wa mazingira ya Rushwa na kukosekana kwa Uadilifu, amesema: “Kuhusu tuhuma ambazo Makamu...
  6. Waufukweni

    John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
  7. Mindyou

    Waziri wa Ulinzi wa China, Dong Jun aripotiwa kufanyiwa uchunguzi kwa tuhuma za ufisadi. Msemaji wa Wizara atoa tamko!

    Wakuu, Unaweza kudhani kuwa nchi kubwa kama China, masuala ya rushwa yangekuwa yameshaisha lakini mambo bado yanatokota. Hivi karibuni baadhi ya maafisa wa Marekani wameliambia gazeti la Financial Times kwamba Waziri wa Ulinzi wa China Dong Jun yupo kwenye Uchunguzi mzito kufuatia madai ya...
  8. Mtoa Taarifa

    Tanzania kuendelea na Mkataba wa Adani wa Dola Milioni 95 kuendesha Gati za Bandari ya Dar Licha ya Tuhuma za Rushwa

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na tuhuma za utoaji hongo na udanganyifu, afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Bandari amethibitisha. Wiki...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27? === CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa nacho, hasa kuhusu madai ya rushwa na ufisadi yanayoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake na...
  10. M

    Lissu abanwa vikali na Mwana CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa ndani ya chama

    Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Kijana aitwaye Lumola ambaye alikuwa ni mgombea ubunge mwaka 2020 alimuuliza Lissu swali zito ambalo Lissu...
  11. R

    Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

    Salaam, Shalom!! TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu. Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv. Sasa ni muhimu Ndugu Abdul...
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    TAKUKURU - Uyui Tabora, chunguzeni Tuhuma za rushwa kwa mtendaji kata ya Loya kwenye zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura

    Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao! Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji watoe 25000/= Ili kujihakikishia kupata nafasi hizo na wale ambao hawakutoa chochote...
  13. Roving Journalist

    Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  14. Yoda

    Kwanini ni nadra sana kusikia tuhuma za rushwa kwa Rais au waziri Marekani?

    Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
Back
Top Bottom