Kwa miongo kadhaa sasa suala la elimu limekuwa likishika hatamu katika mijadala mbalimbali nchini. Maoni mengi yamekuwa yakilenga kuishauri serikali kufanya mabadiliko ya mitaala ikihusisha uhuishaji wa mambo yanayopaswa kufundishwa katika zama hizi zilizotawaliwa na ushindani katika kila Kona...