Tuition payments, usually known as tuition in American English and as tuition fees in Commonwealth English, are fees charged by education institutions for instruction or other services. Besides public spending (by governments and other public bodies), private spending via tuition payments are the largest revenue sources for education institutions in some countries. In most developed countries, especially countries in Scandinavia and Continental Europe, there are no or only nominal tuition fees for all forms of education, including university and other higher education.
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake.
Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa zaidi, sawa au kuwakaribia hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika...
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini.
Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule.
Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote.
Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
Nawasalimu.
Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.
Msàada jamani.
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'.
Sifa
1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry.
3. Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya...
Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu.
Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
Wakuu leo kuna rafiki yangu wa A-level nilimkumbuka nikajikuta nimekumbuka mambo mengi sana ya enzi hizo miaka zaidi ya 15 iliyopita. Ni kwamba mimi ni mojawapo wa watu tunaojivunia kusoma mchepuo unaoheshimika na kuogopwa kuliko yote nchini yaani PCM (Physics, Chemistry and Pure Mathematics)...
Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu
Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution.
Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo.
Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba.
Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
Habarini Wakuu
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4.
Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam siyo chini ya mara 3 kwa wiki.
Kwa mawasiliano 0625536529.
Asanteni
Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
Habari wanaJF,
Tuition kwa wanafunzi wa sekondari O'level na A'level, nafundisha kwa wanafunzi watakaohitaji huduma
Majumbani kwao na centre pia.
Masomo yanayofundishwa ni:
1. Physics (O'level na a'level)
2. Chemistry (O'level na a'level)
3. Mathematics (O'level na a'level)
Masomo haya...
Serikali umepiga marufuku masomo ya ziada kwa shule za Serikali na hasa wakati wa likizo, kwa kubainisha kuwa yanaongeza gharama zisizo za lazima kwa wazazi na ni kinyume na waraka wa elimu namba tatu wa mwaka 2016,ambao unataka wanafunzi wapate likizo ama muda wa kupumzika.
Hayo yamesemwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.