tujitafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raia mpya

    Watanzania tujitafakari

    Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda. Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo? Hivi hili tatzo la ajira litaisha...
  2. milele amina

    Tanganyika Tunapigwa na kitu kizito, tujitafakari.

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana kwa amani, ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na...
  3. milele amina

    Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote...
  4. Jagwanana

    Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite. Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara...
  5. Jumanne Mwita

    Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  6. O

    EDO KUMWEMBE: Apumzike kwa amani Iddy Mobby, kisha tujitafakari

    Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya huwa hawana muda wa kwenda shule. Wanaishi kwa kuzitumikia ndoto zao za uwanjani na wanafunga vitabu...
  7. britanicca

    CCM yangu Tujitafakari juu ya Rushwa

    Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu! Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala...
  8. Idugunde

    Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  9. Ferruccio Lamborghini

    Sonso ameacha maandishi ukutani, tujitafakari

    IJUMAA iliyopita amefariki dunia beki wa Ruvu Shooting, Ally Mtoni ‘Sonso’ na alizikwa Jumamosi. Sonso enzi za uhai wake aliwahi pia kuzicheza Lipuli, Yanga na Kagera Sugar. Zaidi ya hapo amewahi kuipigania jezi ya timu ya taifa. Ni mara chache kwa taifa letu kutokea kifo cha mchezaji wa Ligi...
  10. Suzy Elias

    Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  11. Kasomi

    Wabongo tuache unafiki

    Bila kupepesa macho wala kutikisa kichwa Wabongo tumejariwa unafiki tena wa Hali ya juu. Hii ni juu ya tukio lililo tokea leo maeneo ya Upanga huko Dar es Salaam. Ukiangalia comment za wadau juu ya tukio hilo wanaliingiza kwenye mambo mawili tofauti. Mosi ikiwa ni siasa na pili ikiwa ni...
Back
Top Bottom