Kwanza nitoe pongezi kwa chombo cha habari cha Wasafi media kipindi kinachoendeshwa na Zembwela, Maulid kitenge (mshambuliaji) na Gerald Hando, kwa kweli kila nikifungulia redio kwenye hiki kipindi na kutana na wazee wa minyama wakikumbusha na kulitaka jeshi la polisi lijitokeze hadharani kuwapa...
Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania.
Ukisikiliza ile video anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa mtu.
Sasa kunashindikana vipi...
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.