Habari zenu waungwana wa JamiiForums.
Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York nchini Marekani yalipuliwe na magaidi (kulingana na taarifa kamili ya serikali yao) kwa kutumia ndege...
Sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
Mfano wabunge wanaowakilisha majimbo mbalimbali ndani ya jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Informers wa Police" wote waliopo ndani ya jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.