Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga...