Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.
huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.
Sasa nimemcheki...
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali...
1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle
Nikaja kugundua kwamba nipo...
Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii
Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu
Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia.
1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo...
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
Habari wana JF,
Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
TUKIO LA 1:
Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale
Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...
Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989
https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D
Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni mwaka gani
Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo.
1. Nakumbuka...
GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu.
Leo Makanisani ( kwa wenye...
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito...
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground.
Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne.
Wote tuliowaipitiwa na...
Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead
Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.