tuliowahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

    Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu. huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja. Sasa nimemcheki...
  2. Tuliowahi tongozwa au mliowahi watongoza mashemeji zenu mpo?

    🤣🤣 kwanza nicheke kiasi. Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe? Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali...
  3. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  4. G

    Tukutane hapa tuliowahi kufukuza / kufukuzwa na polisi, wezi. Je, ulichomoka kwa anaekufukuza ama kumpata unaemfukuzia?

    2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
  5. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  6. M

    Vifo hasa vya viongozi wakuu ni ukumbusho kwa sisi tuliobaki

    Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia. 1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo...
  7. G

    Ni kwangu tu au, wanawake pekee naweza kuongea nao kwa uhuru zaidi na kuzoeana ni wale tuliowahi kufanya romance ama sex

    Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
  8. Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

    Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa... Karibuni kwa shuhuda
  9. Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  10. K

    Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  11. Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

    TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
  12. Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe. Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
  13. Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate. Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...
  14. Wale tuliowahi kusoma kwenye hii shule

    Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989 https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni mwaka gani
  15. G

    Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

    Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo. 1. Nakumbuka...
  16. Tafadhali Wakatoli wa Ibada ya Kwanza tuliowahi Makanisani ili Kuusikiliza na Kuutii Waraka wa TEC tutambuane tafadhali

    GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu. Leo Makanisani ( kwa wenye...
  17. Tuliowahi kupita ruti ya Tarime - Mugumu - Serengeti - Arusha tukutane hapa

    Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure. Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara. Hii ruti haifai kwa mama mjamzito...
  18. Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne. Wote tuliowaipitiwa na...
  19. Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

    Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa...
  20. Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…