Naanzia kushoto kwenda kulia
1) Salim Ahmed Salim
2) Joseph Sinde Warioba
3) Rashid Mfaume kawawa
4) Julius Kambarage Nyerere
5) Ali Hassan Mwinyi
6) Idrissa Abdul Wakiil
7) Maalim Seif Sharif Hamad
N: waliohai hapo ni wawili
Joseph Sinde Warioba
Salim Ahmed Salim
Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui Mungu?
Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi.
Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu...
Wanabodi,
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha
JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf.
Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka...
Kumekucha Chalinze!!
Ni Jumatano hii ya Oktoba 11, 2023 ambapo Jimbo la Chalinze chini ya Mbunge wake ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete litafanya Mkutano mkubwa wa Jimbo la Chalinze. Mkutano huo utatumika kueleza mambo makubwa yaliyofanyika katika Jimbo...
Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu na walezi wangu tangu shule ya msingi. Nilipelekwa shule za bweni tangu nikiwa mdogo, kwani...