Nauliza tu kwa Nia njemaa
WAPENDWA
Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha
KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na natumiwa kwenye line mbili tofauti
Haitoshii
Na VYUMBA napangisha airport
Yaani wapangaji wannenkati...
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
Mzee Thomas Ayo mwenye umri wa miaka 67 mkazi wa Kata ya Kiutu wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki dunia ghafla (nje ya duka la wakala wa fedha ) mara baada ya kupata mshtuko alipobaini ametapeliwa kiasi cha fedha shilingi laki nne na tisini na nane (498,000) alizotuma kwenye namba...
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki.
Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia...
Hii nchi imekuwa ya risk sana and no one cares! Watu wanaibiwa fedha, watu wanatapeliwa kila siku , serikali imekalia kutuma meseji "usikubali kutumanfedha kwa namba usiyo ijua" who cares vijijini huko watu hawaelewi chochote,
Kwanini serikali isitafute namna ya kushughulika na hao matapeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.