Mzee Thomas Ayo mwenye umri wa miaka 67 mkazi wa Kata ya Kiutu wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki dunia ghafla (nje ya duka la wakala wa fedha ) mara baada ya kupata mshtuko alipobaini ametapeliwa kiasi cha fedha shilingi laki nne na tisini na nane (498,000) alizotuma kwenye namba...