tumaini makene

  1. J

    Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

    Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA. Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene? Jumaa kareem
  2. tang'ana

    Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  3. William Mshumbusi

    Uchaguzi 2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
  4. Lord denning

    Tumaini Makene huu sio wakati wa kulala, kuwa Active Mitandaoni

    Kwako ndugu Tumaini Makene Huu sio wakati wa kulala. Nyie ndo Chama Tawala watarajiwa. Dalili zote zinaonesha watanzania wameamka na wako upande wenu. Ushauri wangu kwako na kwa Uongozi wa CHADEAM, kuweni active sana kwenye mitandao ikiwemo JamiiForums, kuna mawazo mengi mnapewa humu na wadau...
  5. CHADEMA

    FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI 1.0 UTANGULIZI Ndugu zangu Watanzania, Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
  6. CHADEMA

    FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

    MTAZAMO NA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU JANGA LA CORONA NA ATHARI KWA TAIFA 1.0 Utangulizi: COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali...
  7. S

    Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

    wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
Back
Top Bottom