Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha
Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka.
Iko hivi, sisi wakulima...
Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili.
Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu.
Na Mwandishi wetu
Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale!
Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku.
Eneo hili...
Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
MBUNGE CHEREHANI AISHAURI SERIKALI IPUNGUZE KODI ZINAZOWABANA WANUNUZI WA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kuendelea kupunguza kodi zinazowabana wanunuzi wa tumbaku nchini ili wakulima wa zao hilo waendelee kupata faida kubwa.
Mheshimiwa Cherehani...
MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde.
"Wakulima wa...
Nipo mkoa wa Tabora kwa kipindi cha takriban miaka 10 sasa.
Nimebaini wananchi wanalima sana zao la Tumbaku kila mwaka na wanalipwa vizuri tu lakini ukiangalia mambo ya maendeleo kwa wakulima husika siyaoni zaidi ya kusubiria miradi ya Serikali kupata huduma kama afya, elimu na maji vilevile na...
WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani Serikali inataka kuona wakulima...
Utafiti wa Shirikisha la Afya Duniani (WHO) umebaini utumiaji wa bidhaa za Tumbaku hausababishi magonjwa ya kuambuliza lakini asilimia 50 ya watumiaji wake wanafariki.
Kwa mwaka watu zaidi ya milioni 8 hufariki kwa sababu ya matumizi ya tumbaku, vifo milioni 7 ya vifo hivyo hutokana na matumizi...
Matumizi ya Tumbaku yanatajwa kuwa miongoni mwa matishio makubwa ya Afya ya Umma. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tumbaku huua takriban nusu ya Watu wanaoitumia
Inakadiriwa kuwa, zaidi ya Watu Milioni 8 hufariki dunia kila Mwaka. Vifo vipatavyo Milioni 7 kati ya hivyo ni Matokeo ya...
Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama ratiba ilivyo. Kuna tatizo Sana kipindi hiki Cha upangaji wa madaraja kwakuwa Rushwa imetamalaki kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho.
Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500
Nakushauri Waziri...
Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia
Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.