Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekasimishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto jukumu la kudhibiti bidhaa za tumbaku kuanzia tarehe 30 Aprili, 2021 kupitia Tangazo la Serikali Na. 360.
Kifungu cha 12 cha Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa za Tumbaku, Sura 121...