Wakuu,
Kamati ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge na kuitwa Jimbo la Missenyi, ili kuleta muunganiko wa kiutawala.
Kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jana, Jumanne, Machi 11, 2025 kilichoongozwa na Mkuu wa...
Ni kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa na baadhi ya watendaji wa Serikali kiasi kwamba ukaonekana ni hovyo.
Ndiyo maana akina Lissu wanapojenga hoja ya mabadiliko kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wanaeleweka vema na Watanzania na Jumuiya ya kimataifa.
Na mbaya zaidi hoja ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Machi, 2025.
Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi mkoani Morogoro...
Wanabodi,
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita, kisichozidi miaka miwili, au vyote kwa pamoja.
Ameyasema haya wakati wa mkutano na wadau wa...
Leo tarehe 29 Januari 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, ameshiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
Mhe. Moyo amewashauri wananchi waliofikia umri wa miaka 18 na wale ambao hawajajiandikisha, kujitokeza ili kujiandikisha. Pia...
Uhuni huo uliofanyika na CCM akina Samia et al kujivika madaraka ya kuvunja Katiba ya nchi, Katiba ya CCM , sheria zoooote, upinzani sahau kuwa kupata katiba Mpya na Tumehuru ya uchaguzi!
sasa ni full swing DICTATORSHIP!
MADIKITEIT WANAWEK WALIOWAHI KUWEPO DUNIANI
Indira Gandhi
Isabel...
Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye vilevi wakati wa zoezi la kuboresha Daftari la mpiga kura linalotarajiwa kuanza Desemba 27, 2024...
Kuelekea kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Iringa imeelezwa kuwa kuna vituo vipya vipatavyo 140 vimeongezwa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 15, 2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mtibora Seleman katika...
Maafisa wa Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu sheria zinazohusiana na uchaguzi ili kuepuka ushawishi wa kisiasa wa wanasiasa wanaojaribu kupotosha sheria hizo kwa maslahi yao.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani, alitoa wito huu...
Wakuu,
Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na namna ya kuhamisha taarifa zao iwapo mwananchi atahitaji.
Baadhi ya...
Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
haki jinai
haki za walemavu
maslahi yataifa
rasilimali za taifa
rushwa kwa wanahabari
tumehuruyataifayauchaguzitumehuruyauchaguzi
uchumi imara
uchumi jumuishi
utawala bora
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.