Wakuu,
Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa unaendelea kwa sasa huko mkoani Tanga.
Rais Samia alisema:
"Niwakumbushe kile kijambo chetu cha mwezi wa...
Wakuu,
Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
Haya ndio mambo tunayotaka kuona.
Sasa hapa tume...
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020.
Mkurugenzi wa...
Wakuu,
Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita.
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mbarouk Salum Mbarouk, amewataka wadau wa...
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria.
Zitto ametuma akaunti yake ya X kuzungumzia suala hilo. Ni saa chache kupita tangu Msemaji Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.