Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science.
Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
Habari
Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi.
Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja.
Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi?
Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi...
Tunaomba Msaada Rais Samia Utusadie wahitimu wa Social Protection kupata fursa za Ajira serikalin
Kwanza nianze Kwa kupongeza utendaji kazi wako Mh Rais umekuwa mwanga na Tumaini la wengi ikiwemo sisi wanafunzi wa vyuo vikuu umekuwa na jitihada za kutoa Fursa za Ajira Kwa vijana ila kwa wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.