tume ya haki jinai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Tume ya haki jinai waliomo hawajui majukumu yao.

    Juzi nilimsikiliza mwenyekiti wa tume ya haki jinai akijibu mapigo baada ya tume hiyo kulalamikiwa, pamoja na kumsikiliza mpaka mwisho alichokuwa anakisoma kwa kubabaika, hakuna mahali alisoma mafafanikio waliyoyapata zaidi ya kutujulisha majukumu ya tume! Hii inamaana wako ofisini wanekaa...
  2. J

    Uko wapi uwezo wa Tume ya Haki Jinai kwenye masuala ya ukatili?

    Habari zenu Wanajamvi. Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande. Kinachonitia mashaka kuhoji tume ya haki jinai Tanzania ni ukimya wao juu ya suala hili je ni ipi legitimacy ya kuwepo kwa tume...
  3. Stuxnet

    Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  4. K

    Je mapendekezo ya "TUME YA HAKI JINAI" yako wapi kwa Polisi hii

    Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
  5. R

    Nikifuatilia yanayoendelea Tanga kwenye kesi ya Kombo najiuliza kwanini tulitumia pesa nyingi kuunda tume ya haki jinai? Inaisaidia nini nchi?

    Leo RCO amenyima dhamana na mahakama ipo imetulia tu. Wakati haya yanafanyika kuna watu wamelipwa mabilioni kuandaa ripoti ya haki jinai. Unajiuliza tafsiri ya haki jinai ni nini? Je RCO anaweza kuwakatalia mahakama? Jaji Mkuu anaposhuhudia haya yakiripotiwa kwenye vyombo vya habari akakaa...
  6. T

    Taarifa ya Haki Jinai na Mapendekezo yake ni mwarobaini wa maonevu. Utashi wa kisiasa unahitajika

    Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi yanayegemea sana demokrasia ambayo ndani yake imo HAKI ya wananchi wote kwa wakati wote. Haki Huinua Taifa. Rais kwa hili linahitaji utashi wako ili mapendekezo haya yasiishie kwenye makabati. Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya mh...
  7. Ojuolegbha

    Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Kutekeleza Tume ya Haki Jinai, imekabidhi mkakati wa kutekeleza mapendekezo ya tume kwa Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai. ====== Kamati ya kuandaa mkakati wa kutekeleza Tume ya Haki Jinai, imekabidhi mkakati wa kutekeleza mapendekezo ya tume huku ikibainisha mafanikio kadhaa yaliyopatikana...
  8. naggy

    Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

    Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi...
  9. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  10. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Kila Mtanzania awe na namba moja ya UTAMBUZI maisha yake yote

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema kuwa tume inapendekeza Mifumo ya huduma za kijamii na kibiashara zifungamane na mfumo wa utambuzi wa usajili wa makazi, RITA, ardhi na NIDA ili kila Mtanzania awe na namba moja ya...
  11. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume Tume hiyo iliundwa Jan...
  12. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Wakuu wa Mikoa/Wilaya wanatumia vibaya mamlaka ya kukamata na kuweka watu maabusu, waondolewe hayo mamlaka

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amebainisha kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanalalamikiwa kutumia vibaya madaraka yao ya kukamata na kuwaweka wananchi maabusu kwa mujibu wa Kifungu cha 7 na 15 cha Sheria ya Tawala za...
  13. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Vyombo vya Ukamataji hutumia nguvu na kutesa Watuhumiwa

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  15. S

    Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  16. comte

    Baada ya Tume ya haki jinai naona ipo haja ya kuanzishwa kwa tume ya Kodi

    Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
  17. Erythrocyte

    Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

    Picha: Erick Kabendera Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana . Kabendera amefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu...
  18. Erythrocyte

    Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

    Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi . Amedai kwamba kuleta Tume ya Haki Jinai katikati ya Mjadala wa Katiba mpya ni mbinu ya kupoteza...
  19. Ramark

    Mapendekezo kwa Tume ya Haki Jinai

    Habari wakuu, Naomba tutumie Uzi huu kuleta hoja zetu za kuboresha mfumo wa haki jinai ili kwayo tuzichambue na kila mmoja kwa nafasi yake akipenda kuwasilisha wazo lako lilipendekezwa humu au kuboreshwa kwa njia ambazo zimetolewa na Tume. Kwa sasa wanaenda Mikoani ambako watakuwa na mikutano...
  20. comte

    Vurugu za London za mwaka 2011 zinaweza kuwa za msaada mkubwa kwa tume ya haki jinai

    https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
Back
Top Bottom