TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tamko la THBUB kulaani mauaji ya Bw. Jumanne Juma
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Jumanne Juma (28), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Kimara B, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam aliyeuawa kwa...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
THBUB imeeleza imepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya Nd. Athuman Hamad Athuman na Amour Khamis Salim, waliokuwa wakaazi wa kijiji cha Kiungoni, Wete...
Habari wana JamiiForums,
Hii ni Akaunti rasmi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), kupitia thread hii, tunakukaribisha tuzungumze na tutambue haki zetu sote
Utangulizi
Ni Idara huru ya Serikali ambayo inashughulikia masuala ya haki za binadamu na utawala bora na ni chombo cha...
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni...
Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!
Hivyo ni wazi Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!
PIA SOMA
- Tume ya Haki za...
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.
Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.
Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita...
Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA).
Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji.
Jaji Mstaafu Mathew...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.